Sunday, 11 August 2013

PICHA ZA BARAZA LA IDD EL FITRI ,UKUMBI WA SALAMA BWAWANI HOTEL

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake kwa wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu  wakati   Baraza la Iddi el Fitri  lililofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja

 Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na wananchi,wakisikiliza Hotuba ya  Baraza la Iddi el Fitri,iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,katika kusherehekea sikukuu hiyo baada ya mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan



 Viongozi na Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,wakisikiliza Hotuba ya  Baraza la Iddi el Fitri,iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,katika kusherehekea sikukuu ya Idd el Fitri,baada ya mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati0 aki[pokea salamu ya utii kwa Kikosi cha Jeshimla Polisi (FFU) alipohudhuria katika sherehe za Sikukuu ya Eid  el Fitri wakati wa baraza la Idd lililofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja

 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,(wa pili kushoto) Mke wa Makamo wa Pili wa Rais Mama Asha Suleiman,(katikati) Mke wa Rais Mstaafu mama Shadya Karume (kulia) na Viongozi wengine wakiwa katika hafla ya Kusherehekea Sikuuu ya Idd El Fitri wakati wa Baraza la Idd lililofanyika leo katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.



 Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Dk.Amani Abeid Karume,(kutoka kushoto) akibadilishana mawazo na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,wakati wa Sherehe za Baraza la Idd katika kusherehekea Sikukuu ya Idd el Fitri,huko katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akipeana mkono na Balozi Ali Karume,baada ya kumalizika Baraza la Iddi lililofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,ikiwa ni kusherehekea sikukuuu ya Idd el Fitri,baada ya kumalizika kwa mfgungo wa Ramadhan

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akipeana mkono na Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume,baada ya kumalizika Baraza la Iddi lililofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,ikiwa ni kusherehekea sikukuuu ya Idd el Fitri,baada ya kumalizika kwa mfgungo wa Ramadhan























Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Akina mama mbali mbali baada ya kumalizika kwa Baraza la Idd katika kusherehekea Sikukuu ya Idd el Fitri,nje ya Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo,ambapo duniani kote wanasherehekea Sikukuu hii.

No comments:

Post a Comment