Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikifungua Kituo cha kutoa huduma cha PBZ sambamba na uzinduzi wa huduma za kusafirisha fedha kwa haraka { World Remit Money Transfer Services } kiliopo kwenye jengo la Mamlaka ya Mapato Zanzibar { ZRB } Mazizini nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Balozi Seif akiangalia ujumbe wa simu aliotumiwa wa kupokea fedha kwa njia ya huduma ya kusafirisha fedha kwa haraka kutoka kwa mmoja wa Marafiki zake Bwana Hassan aliyeko Canada kupitia kituo cha huduma cha PBZ kiliopo Mazizini. Pembeni yake ni mtendaji wa Kituo hicho cha PBZ Rashid Mohd Hassan akisubiri kuthibitisha ukweli wa Ujumbe huo ili ampatie fedha zake.
Balozi Seif akifurahia fedha alizotumiwa na Rafiki yake Bwana Hassan aliyeko Canada baada ya kuzipokea kupitia Kituo cha PBZ kiliopo Mazizini katika mfumo wa huduma za kusafirisha fedha kwa njia ya haraka.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Limited Nd. Juma Amour Mohammed akitoa taarifa katika hafla ya uzinduzi wa Kituo cha kutoa huduma cha PBZ sambamba na uzinduzi wa huduma za kusafirisha fedha kwa haraka hapo Mazizini.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akizungumza katika uzinduzi wa Kituo cha kutoa huduma cha PBZ sambamba na huduma za kusafirisha fedha kwa haraka hapo katika jengo la Mamlaka ya Mapato Zanzibar { ZRB } Mazizini.Kushoto yake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Watu wa Zanzibar Nd. Abdull-rahman Mwinyi Mbegu na Kulia yake ni Kaimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais anayeshughulikia Fedha Uchumi na Mipango ya Maendeleo Dr. Mwinyihaji Makame.

Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar walioshuhudia uzinduzi wa Kituo cha kutoa huduma cha PBZ sambamba na huduma za kusafirisha fedha kwa haraka hapo Mazizini.
Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.
No comments:
Post a Comment