Sunday, 7 July 2013

Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Dr. Ad Koekkoek amuaga Makamo wa Pili wa Rais



Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  Ali Iddi akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Chama cha Ukombozi waPalestina { PLO } pamoja na wenyeji wao wa Chama cha Mapinduzi.Kushoto ya Balozi Seif ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya PLO  ambaye ni Kiongozi TaysearIshaled, Saleh Raafat na nyuma yao Balozi wa Palestina Tanzania Nasri Abujaish. Kulia ya Balozi ni Katibu wa Sekriterieti ya CCM uhusiano wa Kimataifa Balozi Asha Rose Migiro.


Katibu wa Sekriteriet ya CCM Uhusiano wa Kimataifa Balozi Asha Rose Migiro akiteta jambona Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif mara baada yaUgeni wa okutoka Chama cha Kipalestina kuonana naye.

Kiongozi wa Ujumbe wa Chama cha Ukombozi wa KipalestinaTaysearIshled akiagana na Makamu waPili waRais wa Zanzibar BaloziSeif baada ya kumaliza mazungumzo yao.

Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Dr. Ad Koekkoek akiagana na Makamu wa Piliwa Rais wa Zanzibar Balozi Seif baada ya kumaliza muda wake wa utumishi Nchini Tanzania ifikapo Mwezi Julai mwaka huu wa 2013.

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar BaloziSeif Ali Iddi akimpatia zawadi ya Kasha Baloziwa Uholanzi Nchini Tanzania Dr. Ad Koekkoek kama ishara ya ukumbushokutokanana utumishi wake mzuri hapa Tanzania.




No comments:

Post a Comment