Mlezi wa Soko la Jumapili { Sunday Market }ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akinunua bidhaa mbali mbali zilizotengenezwa na wajasiri amali wa soko hilo hapo Kisonge Michenzani.
Balozi Seif akizungumza na Katibu wa Wajasiri amali wa soko la Jumapili { Sunday Market } Bibi Mtumwa Ali Juma hapo Kisonge Michenzani mara baada ya kuwatembelea kuona shughuli zao.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Vijana wa Baraza ya City Centre iliyopo Kisonge Michenzani na kuwaasa wajiunge pamoja ili kupata nguvu ya kunzisha miradi itakayowasaidia kimaisha.
Picha no Hassan Issa wa –OMPR – ZNZ.
No comments:
Post a Comment