Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa katika dua ya pamoja na kutakia malazi mema Gwiji la sanaa Zanzibar Bi Ftma Binti Baraka { Bi Kidude } hapo nyumbani kwake Rahaelo nyuma ya Studio ya ZBC Redio.Kulia ya Balozi Ni mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Nd. Borafia Mtumwa na Kushoto yake ni Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Mh. Nassor Al – Jazira.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa pamoja na baadhi ya Familia ya Bi Kidude wakati alipofika kutoa mkono wa pole kwa ndugu na jamaa wa msanii huyo.Kushotoya Balozi ni Nd. Haji Ramadhani Suwed na kulia ni Bwana Abdullrahman Saleh
Umati mkubwa wa Wananchi walioshiriki mazishi ya Msanii Gwiji wa sanaa kanda ya Afrika Mashariki na Mipaka yake Bibib Fatma Binti Baraka { Bi Kidude } hapo nyumbani kwake Rahaleo nyuma ya Studio ya ZBC Redio.
Picha no:- 091 ni:- Baadhi ya waumini wa Dini ya Kiislamu wakendelea na dua ya kumtakia safari njema msanii Gwiji wa Taarab Bi Fatma Binti Baraka { Bi Kidude } hapo nyumbani kwake
No comments:
Post a Comment