Monday, 22 April 2013



Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimina na Baadhi ya Maafisa wa Ubalozi Mdogo wa China hapa Zanzibar waliohudhuria makabidhiano ya skuli rafiki kati ya China na Zanzibar iliyop[o Mwanakwerekwe ambayo imejengwa kwa msaada wa Serikali ya China.



 Balozi Mdogo wa China aliyepo Zanzibar Bibi Chen Qiiman na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakifungua pazoa kuashiria makabidhiano ya skuli mpya ya urafiki kati ya nchi hizo mbili iliyopo mtaa wa mwanakwerekwe.



Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibarf Balozi Seif Ali Iddi akiangalia moja ya darasa liliomo ndani ya skuili mpya rafiki kati ya china na Zanzibar iliyopo mwanakwerekwe.



 Viwanja vya michezo mbali mbali vilivyomo ndani ya eneo la skuli mpya rafiki kati ya china na Zanzibar iliyopo mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi.



Balozi Mdogo wa China aliyepo Zanzibar Bibi Chen Qiiman na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mh. Ali Juma Shamhuna wakitia saini mkataba wa makabidhiano ya skuli mpya rafiki kati ya China na Zanzibar hapo ilipo skuli hiyo Mwanakwerekwe.





 Baadhi ya Maafisa wa Ubalozi Mdogo wa China na familia zao wakishuhudia hafla ya makabidhiano ya skuli mpya rafiki kati ya china na Zanzibar iliyojengwa kwa msaada wa Serikal;I ya China hapo Mwanakwerekwe wilaya ya Magharibi.



 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar balozi Seif Ali Iddi akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi  mbali mbali waliohudhuria hafla maalum ya makabidhiano ya skuli mpya ya urafiki kati ya China na Zanzibar mara baada ya makabidhiano hayo.
Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ .



No comments:

Post a Comment