Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifungua mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kati ya Israel na
Tanzania, katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipongezwa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene, baada
ya kufungua rasmi mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kati ya
Israel na Tanzania, katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es
Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Regnald Mengi (wa pili
kulia) ni Mwakilishi wa Ubalozi wa Israel kwa nchi za Tanzania, Kenya
Uganda na Seychells, Gilad Millo
Baadhi ya washiriki wa mkutano wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati alipokuwa akiwahutubia
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano. Picha –
OMR
No comments:
Post a Comment